—– Forwarded message from ananilea_nkya@ . . . —–
Date: Fri, 26 Jun 2009 08:54:17 -0700 (PDT)
From: ananilea nkya <>
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
True Niocodemus, all oppressive systems will come to an end. Capitalism too, is on its way out. The current global financial crisis is an indicator . Indeed an alternative just system must emerge. No unjust system ever lasts. Aluta Contunue!
On Fri, 6/26/09, Niocodemus Eatlawe <> wrote:
From: Niocodemus Eatlawe
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Date: Friday, June 26, 2009, 9:20 AM
Thanks, John for your solid analysis and argument. Exactly that is what I have been saying myself yesterday that times have changed but people are not coming out of their comfort zones! Mindsets have not changed for many, but there a few who a vision and can read signs of the day. The days of tyrant and corrup leaders are indeed numbered! Threat will never and have never worked anywhere except for a while.Boers tried their best to supress Mandela and other freedom fighters but today the Blacks are reigning SA. Russia communism collapsed, not mentioning Adolph Hitler to mention but a few.
This s a wind of change which no one can stop! Tanzania has been bewitched and blinded for so long even thru what they called freedom torch while actually is slavery torch! No situation is permanent! What we are seeing is a just a little smoke! The real fire is coming and no liar we will withstand! Look at the debate we are having here! Could this hapen in the 80s? Aluta continua! We can either be part of the change or mere observers! Kwaherini.
Eatlawe
Ananilea Nkya
Executive Director
Tanzania Media Women’s Association (TAMWA)
P. O. Box 8981, Sinza-Mori
Dar es Salaam, TANZANIA
Tel: +255-22 2772681 Fax +255 22 2772681 E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com
Cellphone:+255-754-464-368
— On Fri, 6/26/09, Niocodemus Eatlawe wrote:
From: Niocodemus Eatlawe
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Date: Friday, June 26, 2009, 9:20 AM
Thanks, John for your solid analysis and argument. Exactly that is what I have been saying myself yesterday that times have changed but people are not coming out of their comfort zones! Mindsets have not changed for many, but there a few who a vision and can read signs of the day. The days of tyrant and corrup leaders are indeed numbered! Threat will never and have never worked anywhere except for a while.Boers tried their best to supress Mandela and other freedom fighters but today the Blacks are reigning SA. Russia communism collapsed, not mentioning Adolph Hitler to mention but a few.
This s a wind of change which no one can stop! Tanzania has been bewitched and blinded for so long even thru what they called freedom torch while actually is slavery torch! No situation is permanent! What we are seeing is a just a little smoke! The real fire is coming and no liar we will withstand! Look at the debate we are having here! Could this hapen in the 80s? Aluta continua! We can either be part of the change or mere observers! Kwaherini.
Eatlawe
— On Thu, 6/25/09, Fakhi Karume wrote:
From: Fakhi Karume
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Date: Thursday, June 25, 2009, 10:03 AM
Mungu akubaki sana kwa kuleta ukweli juu ya hili kampuni lake la
Solomon Stockbrokers Ltd. Sasa najiuliza, je ali-declare conflict of
interest mbele ya umma wakati Wizara anayoiongiza ndiyo ina dhamana ya kusimamia shares zote za serikali kupitia wakala anayehusika CMSA??
Noamba turejee prospectus zote za uuzaji wa shares za NMB na CRDB je Solomon hawakuwa among selected brokers??? Appendix 1 – List of selling agents wa CRDB shares wako 8 na Solomon Stock Brokers Ltd ni wa kwanza. Katika NMB Selling agents wako 8 pia na Solomon Stockbrokers Ltd ni ya 8. Sasa je hii ni serikali gani?. Huyu
Jeremiaha Sumary ni owner kabisa wa hii kampuni i.e majority
shareholder na kwa kuwa ni yake. Inakuwaje inashiriki dili la kuuza
hisa, au kuna mwenye evidence hapa kama alishauza share zake kabisa na kuwa si kampuni yake??
On Jun 25, 9:29 am, “John Wanyancha” wrote:
Once again we are witnessing Hon. Zitto being subjected to the uncalled for agony for his typical evidence-based thinking and debating style that distinguishes him from the massive political sycophants of the day. We are witnessing what seems to me as a battle between an advocate of the common man’s interests pitted against a patented art of public hoodwinking and daylight thieving that characterizes a section of the ruling elites in Tanzania. Whatever the price that Hon Zitto will pay – obviously of being expelled for a couple of sessions – the beginning of a new dawn has been signaled. The era when the proletariats (the poor masses) are starting to rise to demand their rights from the bourgeoisies (the elites), begging from Karl Marx.
Time has gone when many perceived Hon Zitto to be light years away from the thinking pattern of the current generation, a fact that has been demonstrated by every contribution to this discussion. We all seem to share Hon Zitto’s sentiments that Tanzanians have long outgrown deceitful and wishful thinking and that all we need are leaders who can walk the talk. That when you promise your electorates to create five million jobs, we should see a workable formula to deliver the promise- an implementable strategy with measurable indicators attainable over a given time.
And when your country prides to be the darling of donors and the powers that be who fund the biggest chunk of your national budget, you should be able to show a correlation between this funding and tangible successes in terms of improving the living condition of your people. And when basic indicators point to a negative growth in virtually every economic and social sector, you should take it as a wake up call and not a moment to reign heavily on critics while making cover-ups through creation of childish dramas choreographed to deviate the public’s attention from serious issues of the day. Zitto and the call to recant the usage of “hovyo hovyo” (whatever it means) yet another master piece drama (in their own standards) intended to sway everybody away from the critical issues raised and project the MP as a villain or a black sheep. And do we need to conduct a research to find how instantly this has worked for CCM? Just consider our own subject/headline “ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA” If this has been one of the survival tactics all these years, then surely its days are numbered.
If questioning the fundamentals and challenging the status quo is what may take to crucify (kumumaliza kisiasa) Hon. Zitto, then we do not need a messiah to prophesy that we are in the process of making of political saints in Tanzania in people like Hon. Zitto, Dr Slaa, madam Kilango and my own kinsman – the late Chacha Wangwe (May God rest his soul in eternal peace). Their bold and relentless effort against this unprecedented high-handedness of the selfish few bestowed with the privilege to manage our country is surely making a mark in the history of our politics.
John Wanyancha
—–Original Message—–
From: Khadija AbdulRazak
Sent: 24 June 2009 19:35
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
———-
Kuna kila haja ya kuongeza idadi ya wabunge mahiri Bungeni kutoka
kambi ya upinzani. Zitto I salute you on this.Pale inahitaji kila mbunge mwenye mapenzi akisimama anamkoma nyani bila huruma, na anamwaga point mwishowe wangeachia, ila bunge bado ni butu sana, kwani wanaomkoma nyani ki ukweli ni wawili tu Dr. Slaa na Zitto.
wengine ni wa msimu na kutegemea upepo wa chama chao ukoje.
Maendeleo ya Tanzania na kushughulikia maswala ya ufisadi hususani wa Meremeta , tanggold, Deep green nk na wizi mwingie na ufisadi unaibuka kila siku kama hii EPA mpya ya Jk kunahitaji wabunge wa upinzani wasomi, werevu wajasiri na wenye mapenzi ya kweli na nchi. Sasa upinzani kwa kuanzia inabidi hata wabunge wa kuteuliwa ambao vyama vinapewa nafasi ya kufanya hivyo wachaguliwe wenye mapenzi na nchi na uelewa wa kutosha na elimu pambanishi. Sioni sababu ya mbunge wa upinzani anamaliza miaka mitano hakuna alilofanya zaidi ya kupiga makofi, najua uchache wetu lakini lazima wabunge wetu wawe ndio chachu ya maendeleo na mijadala ya kitaifa na ukombozi kutoka mikononi mwa chama chenye mafisadi na kinachozalisha ufisadi.
Zitto kwenye hansard yako umeweka point ya msingi sana kwamba asilimia 44 ni vijana chini ya miaka 20. Hawa ndio wapiga kura wa 2010/2015. Ni Kazi ya wabunge vijana wa upinzani kuanza kufikia hiki kizazi kipya cha dot.com kuhusisha maisha yao na utawala dhalimu wa CCM. Miundo mbinu mibovu, elimu duni ukosefu wa ajira vifo vya wapenzi wao wakijifungua, na watoto wao wachanga, ajali za barabarani zinazouwa kila kukicha kwa mfumo mbaya wa polisi na barabara mbovu, magari mabovu ni mengi sana yanaruhusiwa kubeba abiria na mizigo, hayana takwimu za matengenezo, matairi ya kanjanja kutoka china, break pads na drums mbovu, chasiss zilizopinda nk. Polisi wa usalama barabarani hawafanyi kazi kwani magari ni ya wahemiwa. haya yote taratibu yakiingia akilini nchi itakuwa nchi. 2010 tutakuwa na wabunge 100+ na 2015 tutakuwa na majority, hapo tutamkoma nyani kwa kwenda mbele.
On Jun 24, 5:18 pm, mchuzi Bamia wrote:
Hata cku moja ucje ukaruhusu ndege kujenga kiota juu ya kichwa chako …… ZITTO uamuzi ulio amua ni mzuri sana na nipo pamoja na wewee bega kwa bega,ccm wanatabia ya kulindana mauozo yao … wataficha /kulindana mpaka lini???? kwani wote walizaliwa tumbo moja na mama mmoja???? kila mtu kaja kivyake na ataondoka kivyake…. ,so ZITTO umeteuliwa na wananchi na upo kutetea maslahi ya wananchi kwa ujumla achana na hao wapuuz wasio jua nini maana ya *Chama cha Demokrasia na maendeleo* …..,wapo hapo bungeni kuuza sura zao tuuu na si kingine kile wakikosa ubunge watazeeka vibaya sana,
On 2009/6/24 ananilea nkya wrote:
Kijana Zitto,
Songa mbele. Madhara ya ufisadi unapokolea nchini ni kwamba wenye haki ni wale tu walio karibu na watawala. Lakini tuache iendelee mpaka lini? Si nchi hii ni yetu sote? Si kanuni/sheria ni lazima lindinde usawa? Hakika tukiendelea kama taifa kukumbatia ubinafsi na uchama, tutajimaliza.
Ananilea Nkya
Executive Director
Tanzania Media Women’s Association (TAMWA)
P. O. Box 8981, Sinza-Mori
Dar es Salaam, TANZANIA
Tel: +255-22 2772681 Fax +255 22 2772681 E-mail:ananilea_n…@yahoo.com
Cellphone:+255-754-464-368
— On *Wed, 6/24/09, Leila Abdul * wrote:
From: Leila Abdul
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Date: Wednesday, June 24, 2009, 1:41 PM
Mh. Zitto Zuberi Kabwe, Usiombe msamaha, hawa watu wanadhihaka sana!
aswa wabunge wa CCM. Mbona Selelii akuonywa, Mbona Mudhihiri na matusi yake ya kishahiri hakuonywa? Wewe kusema ukweli umegusa kichwa cha jipu. Wewe bonyeza jipu lipasuke tupo wote. Kwanini wakuandame wewe unayetetea wananchi na wasiandame wanaokataa kujadili Tangold na meremeta? Au wasitumie hiyo nguvu nyingi kumsaka KAGODA?
BRAVO Zitto kaza buti
On Jun 24, 1:20 pm, Juma Mzuri wrote
A controvesial CHADEMA MP from Kigoma North constituency has once again tested the wrath of Union Parliament today, after refusing to detract his ownstatement that ” majibu aliyotoa waziri Sumari kwa Mh Slaa ni ya HOVYOHOVYO…” pamoja na pressure ya wazi toka kwa two CCM MPs wakiomba mwongozo wa Mwenyekiti, Zitto aligoma katakata kufuta kauli yake na kudai kwamba wabunge kadhaa (nadhani akimaanisha wa CCM), wameshaongea kauli za kutatanisha katika bunge hili lakini hakuna hatua zilizochukuliwa..alimalizia kwa kusema “NIPO TAYARI KWA LOLOTE” kabla hajendelea kuchangia mjadala wa budget..
—– Forwarded message from rodrick_maro@ . . . —–
Date: Fri, 26 Jun 2009 09:02:43 -0700 (PDT)
From: Rodrick Maro
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Wanabidii;
Nakubaliana na Zitto kimsingi kuwa, wanaCCM wengi (kama si wote) hawana au hawajazoea “Political Tolerence” kwelii. Kwasababu, kama ni lugha “chafu”, ninyi wote ni mashahidi, tena kwenye Bunge hili hili! Wakitumia maneno “makali” watu wa CCM haiilizwi! Wa upinzani, mmmmmhh!! Big Issue. Why?
Kwa jinsi nilivyopata kumfahamu Zitto (tukiwa Mlimani), hakuwa mtu wa kuona haya kusema anachodhani anapaswa kusema (japo hapaswi kusema tuu hata kama ni matusi). Lakini katika hili, sioni alipokosea. Majibu yaliyotolewa yalikuwa ya wepesi sana! Je, tungetamani aseme majibu yanayotolewa Bungeni ni “pumba?”. Nadhani sasa itoshe kumjadili Zitto, natujadili issues. Yaliyoibuliwa ni makubwa, na nadhani bado Watanzania tunahitaji majibu ya kutosha. Yaliyosemwa ni blah blah tu so far.
— On Fri, 6/26/09, Zitto Zuberi Kabwe wrote:
From: Zitto Zuberi Kabwe
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Date: Friday, June 26, 2009, 7:07 AM
Ndugu Maro,
Ninaheshimu sana mchango wako katika ujenzi wa Taifa letu na mara nyingi nimekuwa nikikusoma. Pia nimekuwa nikifuatilia maoni yako kuhusiana na kilichotokea Bungeni. Ninapenda kusema machache yafuatayo.
1. Sikufanya dharau hata kidogo kwani kawaida sina dharau. Pia wala simdharau Mheshimiwa Sumari na ni mtu ambae huwa ninazungumza nae vizuri tu kwani kama Mtanzania ana mawazo mazuri tu. Tofauti yetu ni mtazamo wa mambo.
2. Mheshimiwa Sumari ali ‘msusubika’ Dr. Slaa(kumnyooshea kidole na kumwambia NA WEWE, TAFUTA HOJA NYINGINE). Huyu ni Mbunge senior sana kwa Sumari, ni mwanasiasa anaeheshimika sana na ni Katibu Mkuu wa Chama chenye wafuasi wengi sana nchini. Zaidi ya heshima binafsi ya Slaa na familia yake, kuna heshima ya wanaCHADEMA wote nchini na Watanzania wanaomheshimu Slaa. Vilevile Slaa alikuwa anahoji suala nyeti kwa Taifa letu.
3. Nilisema na kama ukisoma katika hansard ambayo ipo kwenye Jamiiforums.com kuwa Waziri anajibu ‘hovyo hovyo
‘ bila kutaja jina na wala sikusema Naibu Waziri. Hivyo kwamba ni Sumari ni baada ya kuunganisha matukio. Hivyo haiwezekani kuwa nilimdharau Sumari kwani sikutaja hata jina lake wala cheo chake.
Ndugu Yona, majibu ya serikali kuhusu Meremeta ni ya hovyo sana kwani wao wanajua kuwa sisi katika kamati ya Bomani tulijadili bila tatizo suala la Meremeta. Vilevile Karamagi na Meghji walijibu kuhusu Meremeta na Tangold ndain ya Bunge bila kusema suala la Usalama wa Taifa. Walitunga mambo ya usalama ili kufunga mjadala ambao haufungiki.
Hebu fikiria unamwona mtu anasema uwongo na wewe unajua ni uwongo na unajua kuwa anajua anasema uwongo, unajisikiaje? Kamati ya Bomani ilipata habari zote na serikali ikaagiza uchunguzi na Waziri Mkuu mwenyewe akasema suala hilo linachnguzwa katika taarifa yake ya mwaka. Tatizo ni kwamba hawa watu hawana utamaduni wa kusoma. Hivi mfano, Waziri angesimama na kusema UCHUNGUZI UNAENDELEA kwa kurejea taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu Bungeni kungekuwa na tatizo gani?
Uhovyo mwingine wa serikali ni huu. Juni 8 Kamati ya Mashirika ya Umma ilimwomba CAG afanye ukaguzi maalumu kuhusu Meremeta/Tangold. Msajili wa Hazina ndio mwenye mali zote za nchi na yupo chini ya Wizara ya Fedha. Katika Taarifa yake ya uwekezaji Umma ametaja Meremeta/Tangold kama mashirika ambayo hayajakaguliwa. Kamati ikaagiza mbele ya Msajili wa Hazina. Hivyo Waziri wa Fedha anajua kuwa kuna ukagauzi maalumu unaofanywa na CAG kuhusu meremeta. Kwa nini hawaliambii Bunge?
Ndugu yona, hii nchi inahitaji ‘special therapy’ ili kubadilika. Sisi tupo tayari kufanya unthinkables ilimradi nchi ibadilike, and as i am known, i am who you see (what you see is what you get) – nasema kilichopo kwenye mind yangu bila kuchagua maneno. Napenda kuwa halisia.
Sijamdharau Mheshimiwa Sumari, nimesema ninachoomani ni sahihi and it isnt a big deal any way. Unaweza hata kulinganisha alichosema Kilimbah kuwa Mawaziri ni Mbwa! Alichosema Ndasa kuwa wapinzani ni Ngiri? Tatizo watu wa CCM hawana ‘political tolerance’ yaani uvumilivu wa kisiasa kwa lugha yetu. Wana feel offended so easy kwa sababu hawajazoea kuambiwa ukweli. Huu ni mpito tu, watazoea, SUBIRI BUNGE LA KUMI (2010 – 2015) watakimbia Bunge maana vijana wengi zaidi wataingia (kumbuka there are 5.6m first time voters and voters of age bracket 18 – 35 will be 57% of all voters) na vijana wanasema wanachoamini, hasa vijana wa upinzani.
Zitto
On 2009/6/26 Yona Maro wrote:
Hata mimi ndicho nilichosema mwanzo watu tusiwe washabiki tu kisa zitto kasema who is zitto ina maana maneno kama yale angeweza kuyatumia kuvuruga amani katika jamii siku moja — hata kama akiendelea na msimamo wake huo wa dharau na kukaidi atambue bunge ni sehemu takatifu sio sehemu vijembe kama yeye anavyoamini na wengine wengi , bunge na sehemu ile lazima iheshimiwe .
On 6/26/09, atley wazo wrote:
jamani wanabidii wenzangu mimi nipo tofauti na wengine wengi juu ya ZITO kukaidi bungeni once alipoambiwa arekebishe kauli yake ya dharau kwa maantiki kuwa kufikihsa ujembe siyo lazima ulete dharau kwani aliyekuwa anamfikishia ujumbe ukiacha wote ni wabunge lakini kiumri ni kama baba yake angemwambia abadilishe kauli yake angekaidi? binafsi simuungi mkono
— On Thu, 6/25/09, Fatma Masimba wrote:
From: Fatma Masimba
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, June 25, 2009, 10:24 AM
Ndugu Yona nataka uelewe kwamba heshima ina pande mbili kama sarafu. Sarafu haitakamilika kama itakuwa na upande mmoja tu vivyo hivyo heshima haitakuwa heshima kama itakuwa na upande mmoja. Nadhani umeshawahi kufanyiwa jambo likakukera sana na sitegemei kama yule aliyekukera utampigia magoti ili ipatikane suluhu – ni lazima uonyeshe hisia zako ni jinsi gani hilo jambo lilivyokukera. Na kama basi utakereka kisha ukanyamaza kimya utakuwa mnafiki. Hivyo ndivyo alivyofanya Shujaa ZITTO. Na hiyo ndio silaha pekee ya kuwaonyesha hawa Watawala madhalimu kwamba mwisho wao hauko mbali. Nchi hii itazidi kuteketea kama tutaendelea kuwasujudia hawa. Kuna wanayoyaficha ndio maana wanataka wasujudiwe – tusikubali kwani tutakapoinama kuwasujudia tu watatumaliza – Iliyopo sasa ni kusimama kidete kutetea maslahi ya Taifa letu lililodumaa (Maana siku zote nasikia bado ni Taifa changa) litakuwa lini wakati siku zote linaliwa na mchwa???????
Fatma Elia Masimba
P. O Box 1097 –
ZANZIBAR
Tel: 255 (0) 24 223
3749
Mob: 255 (0) 77 741
6880
From: Yona Maro
Sent: Thursday, June 25, 2009 11:53:26 AM
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Inamaana sasa mtu akimzaba kofi baba yako na wewe ukipata nafasi urudishe kofi hilo hilo na zaidi kwa yule aliyefanya kitendo hicho au wale anaohusiana nao ? nafikiri huo sio utamaduni mzuri alichofanya zitto ni kulipiza kisasi kutokana na alichotendewa Mh Slaa , Sikubaliani na alichofanya
On Thu, Jun 25, 2009 at 1:30 AM,
edmund sichalwe wrote:
Bwana Maro,
Zitto kasema ukweli.hakutaka kuwa mnafiki kama ambavyo wengi ndani ya Bunge letu wako hivyo. Ni WANAFIKI waswahili wanasema hapo kisu kimefika KWENYE MFUPA.Mtu taheshimiwa tu kama naye atajiheshimu.Heshima si kwa wakubwa bali hata kwa wadogo.Hesimu ili uheshimiwe.Mheshimiwa ZITTO nampa BIG UP.it high time we call a SPADE a SPADE!!!!!!!!!!
KEEEP IT UP Heavy (ZITTO ) Mambo yako ni Mazito kwelikweli
Edmund S.Sichalwe
==================
— On Wed, 6/24/09, Marcus Falinzungu wrote:
From: Marcus Falinzungu
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Date: Wednesday, June 24, 2009, 7:07 AM
Kwa hiyo Ndg Maro unaona alivyofanya Mh Sumari kwa Mh Dr Slaa ni sawa??!!
Marcus Falinzungu,
Yona Maro
Sent 06/24/2009 04:46 PM
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Jamii yoyote haiwezi kujengwa na watu haswa vijana wanaokosa heshima na nidhamu sehemu zao za kazi au popote pale ambapo ummah una mwangalia na una maslahi yake kama hapo bungeni ambapo Zitto anatumia kama bar
hata bar ukiongea maneno ya ajabu watu watakushangaa na kutaharuki wewe vipi , kama yeye zitto anapenda demicrasia , ukweli ,
uwazi na uwajibikaji basi aonyeshe njia ya kuwajibika awajibike kwa
kile alichofanya leo hii , kwa kweli amechafua picha yake na vijana
kwa ujumla — huyu sio kijana wa kupewa uongozi kama mbele ya bunge
anatumia lugha za ajabu wala haheshimu
On Jun 24, 4:33 pm, Fakhi Karume wrote:
Ukiwa unatetea haki unaweza kukumbana na mengi, sioni ajabu kama
alipatwa na madhila mengi inawezekana ni tabia yake ya kusema ukweli.
Yesu naye alikataliwa sana kwa sababu ya ukweli, hata mtume naye
alikimbizwa kwa kusema ukweli, Dr King aliuwawa kwa kusema ukweli,
Nelson mandela alifungwa kwa kusema ukweli kwa hivyo wakati mwingi
ukweli unagharama kubwa. sasa kama unataka kumhukumu Zitto kwa
historia yake leta matukio , kwani lile ninalolijua mimi la kufukuzwa bungeni lilithibitika kwamba alikuwa anasema ukweli na alikuwa anasimamia ukweli na mpaka leo wanajuta sasa wewe unasema nini??
Demokrasia yetu haileti tija inaogopesha tu. Ni lazima tujenge misingi ya kusimamia misimamo yetu.
On Jun 24, 4:17 pm, “Thomas Lyatonga” wrote:
People at this point! We have to do whatever it takes! No need of even listen to these people calls themselves as MP’s. Many of them do not qualify. Politics in Tanzania is about what you have and what you will get from surrounding situation; let them do it again and again.
We all remember that they told us that Zitto and Dr. Slaa wamelidanganya bunge but and they punish Zitto for that, at the of the day all things which was lies ndio imepeleka watu mahakamani na wengi kupoteza kazi zao!
They always look for something to hide the previous point! After
billioni 19 za chai to come to our knowledge wakaanzisha kamjadala
kakusema ati vyombo vyo habari vimekosa heshima kwa bunge!
Wito wangu kwa ndugu zangu wanabidii ni huu,
”We need a brain to lead this country and not politician! Let us fight to put that brain in place!”
Thomas A. Lyatonga
Tanzania Breweries Limited
Arusha Plant
Finance/ Credit
Mob; 255755082759
255713652333
dont save what is left after spending, spend what is left after save!
—–Original Message—–
From: Leila Abdul
Sent: Wednesday, June 24, 2009 2:11 PM
Subject: Re: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
Wabunge wa CCM na mawaziri wote wamejaa jeuri na kiburi ambacho mimi
sielewi kinatokana na kitu gani, labda ni sisi watz ndo tumewapa. Yale maneno waziri sumari aliyotumia ilikuwa ni dharau kubwa kwa Dr. slaa na hata watanzania wote, kuwa “na wewe utafute hoja nyingine” maneno yenyewe ukiyasoma hayaonyeshi kama ni mabaya, lakini aliyesikia ile tone aliyotumia na ile facial expression aliyomwonyesha Dr.slaa ilikuwa na kila aina ya dharau na kiburi.
Zitto komaa nao hivyo hivyo manake tumeishawachoka na matamshi ambayo
hayana hata heshima, kuna wakati kiongozi anatamka neno mpaka unajiuliza huyu ana akili timamu kweli au je anawatoto kweli?
manake hata mtoto huwezi kutumia neno kama hilo, tena wanatamka maneno hayo katika ofisi zao, na zaidi sana bungeni.
Ningeweza kuwaelewa kama wangetamka hivyo katika majukwaa ya kisiasa/ kampeni japo sikubariani na lugha za matusi wakati wa kampeni.
Haya yote yanamwisho wake
On Jun 24, 1:56 pm, “Thomas Lyatonga” wrote:
DO WHAT EVER YOU HAVE TO DO BRO! THAT IS NOT Tanzania parliament, its ccm! There is no need of you guyz being there kama mnachaguliwa mahali pa kusoma hotuba yenu wenyewe! You give them a room to do their stuff!
Tutakutana mwakani! Wito wangu kwa wabunge wa upinzani anything happen to Mh Zitto may all of you get out that house!
Thomas A. Lyatonga
Tanzania Breweries Limited
Arusha Plant
Finance/ Credit
Mob; 255755082759
255713652333
dont save what is left after spending, spend what is left after save!
—–Original Message—–
From: Juma Mzuri
Sent: Wednesday, June 24, 2009 1:21 PM
Subject: ZITTO ALIKOROGA BUNGE TENA
A controvesial CHADEMA MP from Kigoma North constituency has once again tested the wrath of Union Parliament today, after refusing to
detract his ownstatement that “majibu aliyotoa waziri Sumari kwa Mh. Slaa ni ya HOVYOHOVYO…” pamoja na pressure ya wazi toka kwa two CCM
MPs wakiomba mwongozo wa Mwenyekiti, Zitto aligoma katakata kufuta kauli yake na kudai kwamba wabunge kadhaa (nadhani akimaanisha wa CCM), wameshaongea kauli za kutatanisha katika bunge hili lakini
hakuna hatua zilizochukuliwa..alimalizia kwa kusema “NIPO TAYARI KWA
LOLOTE” kabla hajendelea kuchangia mjadala wa budget..